Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa wadau wa chanjo wa
uraghibishi kuhusu uanzishaji wa chanjo mbili mpya za kukinga magonjwa
ya nimonia na kuhara kwa watoto. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya
Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012. Taasisi ya WAMA
hujishughulisha pia na masuala ya afya ya mama na mtoto.Picha na John
Lukuwi
August 15, 2012
Mama Salma Kikwete afungua mkutano wa chanjo kwa watoto
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!