StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

Showing posts with label MIKASA YA MAISHA. Show all posts
Showing posts with label MIKASA YA MAISHA. Show all posts

September 21, 2012

HUYU NDIYE MSHITAKIWA ALIYETAPELI KAMPUNI KWA KUTUMIA JINA LA DR. ASHA ROSE MIGIRO

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


Mshitakiwa katika kesi ya utapeli dhidi ya Kampuni ya wakala wa kupakia na kupakua mizigo bandarini ya Mokha Agency Co. Ltd ya Dar es Salaam, aliyedaiwa kutumia jina la aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro, Sharifa Kalala (nyuma) akiongozwa na askari wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam kwenda kupanda karandinga baada ya kusomewa mashitaka mahakamani hapo jana.

September 17, 2012

MAUAJI YA WANAWAKE WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA SASA NI 15, WATATU WAMEUWAWA USIKU WAKUAMKIA LEO

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Rwanda Police publicist Theos Badege says investigations into the killings are underway


Polisi nchini Rwanda wanaendelea na uchunguzi wa mauaji ya wanawake wanaodhaniwa kujihisisha na biashara ya kuuza miili yao ambao mpaka sasa imefikia 15. Uchunguzi huo umechukua mtizamo mpya hasa baada ya mashirika ya kimataifa yanayohusika na haki za binadamu kuingilia kati.
Mmoja wa wakazi wa mji wa Kigali karibu na Nyumba za wageni wanamofanyia biashara hizo amezungumza haya na mdau wetu mjini kigali
"Wanawake hao wamekuwa wakiwaibia watu mali na fedha nyingi hivyo wanaume hao wanavinyongo, wanaume hao wengi unakuta wanawajua wanawake hao kwa sura lakini wao hawawajui kwani wanawateja wengi na hawawezi kuwakumbuka wote, hivyo wanaume hao wanapokuja kulipiza kisasi huja kama wateja wa kawaida na hapo ndipo huwaua wakiwa faragha"


Polisi mjini kigali inawashikilia watu watatu mpaka sasa kuhusiana na mauaji hayo yanayoendelea.

Ex-prostitutes sing and dance to religious songs in Muhanga district

SERIKALI YA KIJIJI YAAMURU KUTOLALA CHUMBA KIMOJA NA MAMA YAKE BAADA YA KUBAINIKA ANA UHUSIANO WA ...

Tweeted this Like this, be the first of your Friends



Mwenyekiti wa kijiji cha Dilifu Pichani kata ya Itenka wilayani mlele mkoa wa katavi Elineo Mbaruku akitoa maelezo kwa mwandishi wa habari hizi kuhusiana na maamuzi ya uongozi wa kijiji hicho cha Dilifu kutoa uamuzi wa kumtenganisha kijana mmoja aliyejulikana kwa la Kwimba (28) kulala chumba kimoja na mama yake mzazi. uamuzi huo wa serikali ya kijiji umefuatia tuhuma za mama na mwanae kuwa na mahusiano ya kimapenzi mwenyekiti huyo wa kijiji alisema tayari kwimba ametii agizo hilo na amekwisha hama kwenye nyumba hiyo na amepanga chumba kijijini hapo.
Picha na Walter Mguluchuma- Katavi yetu Blog

September 13, 2012

KWELI MAREHEMU HANA HAKI HEBU SOMA HABARI YA MTOTO HUYU WA DARASA LA 4 ALIYEGONGWA ILALA BOMA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends Tarehe 23, august 2012 nilipost habari ya ajali mbaya iliyotokea eneo la ilala boma na kijana mmoja ambaye kwa wakati huo hatukuweza kupata jina lake aligongwa na kupasuliwa kichwa na lori na dereva wa lori hilo kukimbia. Mpaka wakati napost habari hiyo hatukuwa tumepata majina kamili ya kijana huyo aliyegongwa wala dereva. Huyo mtoto aliyegongwa anaitwa ABDULKARIM MOHAMED MDEE, alikuwa na miaka 11 mwanafunzi wa darasa la 4 katika shule ya msingi ILALA BOMA....baada ya kumgonga dereva wa roli alikimbia na kujisalimisha polisi na kesi yake imetajwa tarehe 3-9-2012 ambapo amehukumiwa kulipa faini 50000TSH au jela miezi 6. Shukrani za kipekee zikufikie popote ulipo Zennat Khamis.

Picha za tukio hilo hizi hapa chini (viewer discresion is advised)



Baadhi ya wananchi wakiwa wanaangalia mwili wa marehemu ambaye amepoteza maisha papo hapo mara baada ya kugongwa na lori na kukanyagwa kichwa na hatimaye kupelekea kichwa kupasuka na ubongo kumwagika chini leo majira ya saa tisa mchana eneo la ilala boma



Mwili wa marehemu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ukiwa umefunikwa na kanga huku pembeni vipande vya ubongo wake vikiwa pembeni mara baada ya kugongwa na lori na kukanyangwa kichwa na kupelekea kichwa kupasuka na ubongo wote kumwagika chini leo majira ya saa tisa mchana eneo la Ilala Boma. Kijana huyu anasadikiwa kuwa ni mwanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Msimbazi.

Askari wa Usalama barabarani akisaidiana na baadhi ya wananchi kuubeba mwili wa marehemu ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ili kuupakia katika gari dogo tayari kuupeleka hospitali ya Amana.Kijana huyu anakadiriwa kuwa ni mwanafunzi wa Darasa la Saba wa Shule ya Msingi Msimbazi.


 Baadhi ya wananchi wakiutazama mwili wa marehemu ambaye amegongwa na gari na kupelekea kupasuka kichwa na kupoteza maisha papo hapo.


Mwili wa marehemu ukifunikwa vizuri kwaajili ya kupelekwa hospitali ya amana.Pembeni ya mwili wa marehemu ni vipande vya ubongo mara baada ya kukanyangwa na lori


September 9, 2012

MKE ALIYEACHWA AWAUZA WANAWE WAWILI NA MMOJA AMGAWA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

An Indian mother sold her three young daughters for just £2 after her drunken husband threw her out of their house.

Purnima Halder, 35, was so desperate that she could not even afford to buy the children a meal.

Poverty drove Purnima Halder to sell her three daughters


She sold the older two children, aged ten and eight, for 185 rupees (£2) and then gave her four-year-old away for free.

The incident took place in West Bengal's South 24-Parganas district.

Police rescued all the three girls after residents of Malancha village in the district's Neora locality informed them about a woman selling off her children because of poverty.

'All the three girls have been rescued after we carried out an extensive search taking Purnima along.

'We have already video-recorded her statement,' South 24-Parganas district police superintendent Praveen Tripathi said on Sunday.

'The girls are now in a shelter in the Mandirbazar area.

Purnima was thrown out of her home by her husband Uttam Halder and gave her children to three different people so that they could get the much-needed sustenance and shelter.

'She was extremely worried as it was difficult for her to provide even a square meal to them,' a senior district police officer said.

Uttam, a plumber, was arrested late on Saturday on the charges of torturing his wife and daughters.

He was produced before the Diamond Harbour court on Sunday which remanded him to 14 day judicial custody.



Purnima's second daughter was rescued along with her sisters


'We haven't arrested the people who had bought the girls as there was no complaint against them,' the officer added. 

Tripathi said Purnima might have given away her daughters to different individuals but whether she actually sold them is yet to be ascertained.

'Maybe she got some money as help after giving away her daughters, thinking of their well-being,' he said. But the police are not ruling out the poverty angle. 


'We are looking into that aspect as well,' Tripathi added. Purnima married Uttam around 12 years ago.

Last week, Uttam beat her and his three daughters and threw them out of the house.


The hapless mother took shelter at a nearby railway station and was seen begging in front of the ticket counter. 


Purnima later came in touch with a man called Prabhas, who advised her to sell off her daughters.

September 8, 2012

MIKASA YA MAISHA: MUME MLEVI, ANANIPIGA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Hata kugonga hawezi!!!!







Natumaini u mzima yani mimi kwakweli ninakasheshe kwenye ndoa yangu mpaka nasikia kuchanganyikiwa, mume wangu amekuwa mlevi sana halafu kazi hafanyi anategemea kula hela ninazofanya mimi biashara ambazo hazitutoshi maana mpaka watoto na walipia mimi ada, yeye kazi yake kwenda kukaa tu vijiweni na marafiki zake, akija nyumbani amelewa usiku wa manane hajui hata kugonga kwa ustaarabu yani akigonga mara mbili hujamfungulia anaingia na mlango yani kila siku sisi kwetu tunakazi ya kutengezeza milango mpaka aibu kwa majirani. nikimwambia atafute hata kibarua ananitukana na kuniambia kama siwezi kuwa mke wake niondoke. nimeamua kuondoka na kuanza maisha yangu mwenyewe napata tabu lakini najuwa siku yatanyooka.kuliko kuishi kwenye ndoa iliyo na makaraha.Tatizo watoto wananisumbua kwa ajili ya baba yao. Naombeni mchango wenu wa mawazo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat