Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya
Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum Mohamed,(wa
pili kulia). [Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum
Mohamed,(wa nne kushoto). [Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!