June 25, 2012
Breaking News:Benz ML class lateketea kwa moto!
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Muda mfupi uliopita moto
umeteketeza gari aina ya
Mercedes Benz ML Class ambalo namba zake hazikupatikana mara moja baada
ya moto kuwa mkubwa, Gari hilo lilipoteza mwelekeo na kuingia
mtaroni na kushika moto. Ajali hiyo imetokea katika barabara
ya Kilwa eneo la Tanesco, Mivinjeni. Mmoja wa mashuhuda ambaye alikuwa
na gari lingine nyuma ya gari hilo kabla ya ajali, amesema dereva wa
gari hilo alikuwa akiongea na simu kabla ya ajali hiyo!
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget