StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 14, 2012

BRIGITTE NDIYE MISS SINZA 2012

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Miss Sinza 2012, Brigitte Alfred, akiwa mwenye tabasamu kali la furaha baada ya kufanikiwa kuvikwa taji la Miss Sinza 2012 katika Shindano la Miss Sinza 2012 lilifanyika usiku wa kuamkia Juni 13,2012 katika Ukumbi wa Mawela Sinza Jijini Dar es Salaam. Brigitte mrembo aliyekuwa chaguo la wengi ukumbini hapo licha ya kuchuana vikali na mshindi wa pili na watatu aliwashinda warembo wengine 13 waliokuwa wakiwania taji hilo pamoja nae.
Miss Sinza 2012, Brigitte Alfred (katikati) akipunga mkono katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Judith Sangu (kushoto) na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu Esther Mussa. Shindano la Miss Sinza 2012 lilifanyika usiku wa kuamkia Juni 13,2012 katika Ukumbi wa Mawela Sinza Jijini Dar es Salaam.
 Miss Sinza Talent  2012, Maria John akikabidhiwa zawadi yake na Mkurugenzi wa SUFIANI MAFOTO BLOG.
 Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora na kupata tiketi ya kushiriki Miss Kinondoni 2012 wakipozi kwa picha jukwaani.
 Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Vivian Sirikwa akitangaza washindi
 Show maalum ya utambulisho ilikuwa hivi.
 
 Warembo wakipita jukwaani na kupozi kwa picha wakati wa kujinadi mbele ya majaji kwa kivazi cha ufukweni.
 Burudani ilitoka kwa msanii wa Vichekesho EAT, Masawe Mtata ...
 ...na kundi zima la African Stars au Twanga Pepeta
 Papaa Kawogo akifanya vitu vyake jukwaani kwa wanamuziki wa Twanga Pepeta.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Prashant Patel (kushoto) na Katibu Wake Bosco Majaliwa 'Mshua' na mrembo wa Miss Tanzania 2011, Hamisa wakifuatilia shindano hilo.
 Warembo mbalimbali walikuwepo na hapa wakishow love.
Jopo la Majaji likifuatilia kwa umakini shindani hilo.
 
source: father kidevu

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat