StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 14, 2012

DK. SLAA AKUBALI AMRI YA KUHOJIWA NA POLISI KUHUSU MADAI YA NJAMA ZA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA KUUAWA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends



Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho  juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini,  
 Haya piteni hapa, Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
 Hamjambo? Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea

 Kisha akazungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
Harakati za siasa zikaendelea! wafuasi wakasukuma gari lake

SOURCE: DAILY NKOROMO 

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat