MR. BAKIRI (WAPILI KUTOKA KULIA) ALIYEANDAA MKUTANO HUO AKIJADILIANA JAMBO NA ZITO
MMOJA WA WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO AKIULIZA SWALI
KUTOKA KULIA: FRANCISCA RAPHAEL MWAKILISHI WA MILLION FORTUNE NEWS AKIWA NA MH. ZITO KABWE NA JAQUELINE MKINDI MKURUGENZI WA TAHA
KUTOKA KULIA: GLORY MASSAWE AKIWA NA ZITO KABWE NA JAQUELINE MKINDI
DR. SUMA KAARE AKITOA MADA KTK MKUTANO HUO
JANETH MKINDI AKITOA MADA
MKUTANO HUO ULIANDALIWA NA GLOBAL SKILLS NA SPEAKERS WALIKUWA DR. SUMA KAARE KUTOKA TCDC, JANETH MKINDI KUTOKA TAHA, MH. ZITO KABWE (MP), NA JENERALI ULIMWENGU AMABAE HAKUFANIKIWA KUFIKA NA BADALA YAKE AKAMTUMA MWAKILISHI.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!