MENEJA MAUZO WA ZANTEL KANDA YA KASKAZINI, BW. KOMILO MELITUS AKICHANGIA DAMU |
MADAM RITA NA MASTER J WAKIJADILIANA KABLA YA KUMPA MSHIRIKI JIBU LA MWISHO.
SUNDAY WILLSON AKIONESHA FANI YAKE YA KUCHEZA NA VINYONGA.
HUYU NI CAROLINE EDWARD, ANA MIAKA 18, AKIJIANDAA KUIMBA MBELE YA MAJAJI.
WASHIRIKI WALIOSHINDWA KUWAONA MAJAJI WAKIELEKEA MAKWAO SAA 12 JIONI ILI WAJIANDAE KURUDI KESHO.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!