StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 10, 2012

UCHAFU HUU ARUSHA MPAKA LINI????

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Hii ndio Geneva ya Afrika... na hapa ni ndio taswira halisi ya uchafu uliokithiri katika Soko Kuu la mjini Arusha. Je viongozi wapo?
 
Jicho Letu lilipofika Soko Kuu lilikaribishwa na rundo la taka, Jicho Letu liliendelea kustaajabishwa na rundo hili la takataka zilizopo pembezoni mwasoko.

Uchafu umerundikana na kufanya sehemu hii muhimu yanapo patikana maitaji muhim ya kila siku kwa wakazi wa jiji hili kuwa hatarishi na kero kubwa kwa wafanya biashara pamoja na wanunuzi.

Katika hali ya kushangaza Jicho Letu lilimuona kijana mmoja wa makamu akiwa amejipumzisha katikati ya rundo hilo la taka, bila kujari harufu kari iliyokuwa inajitokeza sehemu hiyo yeye aliendelea kulala usingizi. Jicho letu halikufanikiwa kupata jina lake wala muda wa kuongea nae.
Ona picha zaidi za maeneo mbalimbali yalio kithiri uchafu Arusha Mjini.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat