Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Majaji
wa shindano la BSS wakiwa katika ukumbi wa Triple A tayari kwaajili ya
usahili wa kuwasaka washiriki wa shindano hilo kwaajili ya kuwakilisha
Mkoa wa Arusha katika shindano litakalofanyika jijini Dar es Salaam,
kutoka kushoto ni Master J, katikati Rita Paulsen na Salama Jabir
Washiriki
wa shindano hilo wakisubiri kuingia ndani kwaajili ya Usahili wakiwa
wameketi katika viwanja vya Triple A jijini Arusha
Kushoto
ni Afisa Masoko kampuni ya simu ZANTEL kanda ya kaskazini Bw.Melitus
Kimolo akizungumzia juu ya suala la uchangishaji damu ambapo yeye
mwenyewe alichangia damu,,zoezi ambalo lilikuwa pia likiendelea katika
viwanja hivyo,,,,Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko Bw.Deepak Kumar Gupta
Daktari akiwa anamtoa damu kijana aliyejitokeza kuchangia damu kwa hiari
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!