StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 4, 2012

NALIA KWA UCHUUNGU KWANI WAMEMUUA MUME WANGU BILA MAKOSA; TAZAMA YALIYOJIRI KATIKA MAZIKO YA DAUD MWANGOSI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe
INAUMA SANA KAMA UKIFIKIRIA KWA KINA
Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa.
Dr Slaa akiweka Shada la maua.
Dr. Slaa baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka taji la maua pamoja na mke wake 
Rais wa UTPC akiweka shada la Maua. 

Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua 
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog, ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za mwisho katika kaburi.
Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi.

Na huu ndio mwisho wa tukio zima la mazishi ya marehemu, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa mwandishi wa Television ya Chanel 10. 
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat