Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimsikiliza Bw. Kitwana
Makame Haji, mmoja wa majeruhi walionusurika katika ajali ya meli
waliolazwa katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja mjini Unguja jioni ya
leo.
Rais
Jakaya Kikwete akimpa pole Bi Salome Abeli, mfanyakazi wa Tanzania
Automic Energy Commission jijini Arusha, aliyekuwa njiani kuelekea Pemba
kikazi kabla ya kupatwa na ajali hiyo ya meli. Amesema hali yake
inaendelea vyema hapo katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja.
Rais
Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita mbele ya miili ya
waliokufa katika ajali hiyo ya meli jana karibu na kisiwa cha Chumbe.
Hapa ni uwanja wa Maisara ambako miili huletwa kwa kutambuliwa.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!