Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya
Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya
nchini, Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini
Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa, Jumanne Maghembe wakikata
utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya
Andris Piebalgs (Wa tatu kushoto) na Waziri wa Maji Profesa Jumanne
Maghembe wakikagua chanzo cha maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa
uzinduzi wa mradi maji safi.
Chanzo: Mjengwa Blog
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!