Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti aliyeongozana na ujumbe
Kutoka Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu, wakati ujumbe huo ulipofiak ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe Kutoka Hongda
Group, Beijing China, wakati ujumbe huo ulipofiak ofisini kwa Makamu Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya picha wakati akikabidhiwa zawadi ya picha na Mwenyekiti
wa umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu (katikati) na Mjumbe, Liu Canglang, wakati ujumbe huo ulipofiaka
ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa
mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Hongda Group,
kutoka Beijing China, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Dar es
Salaam, leo Julai 12, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!