Rais Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la Hospitali ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya aliyoifungua.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mgonjwa, Wilson Kivuyo (80) aliyelazwa katika Hospitali mpya iliyoifungua ya Olturumeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, Halifa Hidda.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!