StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

August 22, 2012

BANGI ILIYOKAMATWA ARUSHA YATEKETEZWA, NI ZAIDI YA TANI TATU

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya bangi yameteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika kukamilisha operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya inayoendelea mkoani hapa kwa mujibu wa mrakibu wa polisi na kaimu kamanda wa jeshi hilo mkoani hapa Zuberi Mombeji alisema kuwa zoezi hilo ni endelevu na kuwataka wananchi mkoani hapa kutoa ushirikiano katika kutokomeza vitendo vya kihalifu.

Baadhi ya maofisa wa polisi akiwemo msemaji wa jeshi hilo mkoani hapa Rashid Nchimbi wakiangalia zoezi hilo likiendelea kwenye sehemu wanaochomea madawa hayo eneo la FFU nje kidogo ya jiji la Arusha.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat