Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Picha na matukio ya mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu wa Israel, Yitzhak Shamir, aliyeaga dunia siku ya Jumamosi akiwa na umri wa miaka 96.Alikuwa waziri mkuu wa saba wa nchi hiyo akikaa katika vipindi viwili tofauti ikiwa ni
1983 mpaka 1984 aliposhikilia wadhifa huo kwa mara ya kwanza na 1986 mpaka 1992 aliposhikilia mara ya pili. Mazishi yake yalifanyika Mount Hertzl Military Cemetery, Jerusalem
ASKARI WAKIWA WAMEBEBA MWILI YA HAYATI SHAMIR

ASKARI WAKIENDA KWA MWENDO WA TARATIIB KABISA NA JENEZA LA HAYATI SHAMIR

MWILI WA HAYATI SHAMIR UKIPAKIWA KWENYE GARI TAYARI KWENDA ENEO LA MAZIKO Mount Hertzl

Waziri wa Israel Benjamin Netanyahu akiwa na mkewe Sarah katika mazishi Mount Hertzl Military Cemetery, Jerusalem

WAZIRI MKUU WA ISRAEL AKITOA NENO WAKATI WA MAZISHI
ASKARI WAKISOMA MANENO MACHACHE KABLA YA MWILI KUPELEKWA KABURINI
ASKARI WAKIUPELEKA MWILI ENEO LA KUZIKIA