Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa
Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika AU
leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa
Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika
leo jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram
Biswaro(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!