Mgeni Rasmi
katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri
wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji (aliyesimama). Kushoto
ni Mwenyeji wa Maadhimisho
ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
Mwenyeji wa Maadhimisho
ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (aliyesimama) akisoma
hotuba ya utangulizi, katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku hiyo. Kulia ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya
Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Fatma Fereji
Mkuu wa
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi
Joyce Mkinga (Kushoto)akimpa vipeperushi na nyaraka zinazoelezea majukumu na
kazi za Tume ya Mipango kwa maelezo kwa
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri
wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji, (Wa pili kulia.
Mkuu wa
Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano (Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango), Bi
Joyce Mkinga (Kushoto) akitoa maelezo kwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya
Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Fatma Fereji, (Wa pili kulia)
wakati alipotembelea Banda la Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango katika Kilele cha
Maadhimisho ya Siku hiyo. Wa kwanza kulia ni mwenyeji wa maadhimisho hayo, Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika maadhimisho hayo.
Mgeni Rasmi
katika Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Dunia, Waziri
wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma Fereji akiwa katika picha
ya pamoja na washiriki wa Maadhimisho hayo yaliyofanyika kitaifa mkoani
Morogoro.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!