StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 11, 2012

RAIS WA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT) DK NAMALA MKOPI APANDISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Tweeted this Like this, be the first of your Friends NAMALA NKOPI
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia Mahakamani leo Jijini Dar es Salaam kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.
NAMALA NKOPI NA MAMA YAKE
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.
NAMALA NKOPI MAHAKAMANI
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi (kulia) akiongozana na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kupata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
HAKIMU MKAZI KISUTU
Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akipeana mikono na baadhi ya madaktari waliofika kujua hatma yake baada ya kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kukaidi amri ya Mahakama ya kutaka kusitisha mgomo wa madaktari.

(Picha Zote na Mdau Francis Dande) on www.globalpublishers.info

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat