
Akizungumza kutoka mkoani Rukwa, kamanda wa polisi wa mkoa huo Jacob mruanda amethibitisha kutokea ajali hiyo jana asubuhi na kwamba majeruhi waliwahishwa katika hospitali ya mkoa huo kwa matibabu zaidi. Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo alinukuliwa akilalamikia kutowepo kwa msaada wa haraka kwani baada ya ajali hiyo kutokea majira ya saa moja na robo polisi walikuja kufika eneo la tukio saa tano kasoro.




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!