Redds Miss World Tanzania 2012, Lissa Jensen.
Redds
Miss World Tanzania 2012, Lissa Jensen (katikati) akiwa na bendera ya
Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World kulia ni
Mkurugenzi wa Lino Agency Hashimu Lundenga.Fainali ya Dunia Itafanyika
July28,2012 nchini China (Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!