StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

August 18, 2012

ELIMU MATUMIZI YA TAA ZA BARABARANI ARUSHA INAHITAJIKA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Nimekuwa nikishududia mara kadhaa matumizi mabovu ya taa za barabarani mkoani Arusha ikiwa ni kwa waenda kwa miguu na pia watumia vyombo vya moto. Nimegundua hili ni tatizo kwani nadhani bado wananchi hawajelimishwa matumizi ya taa hizi kwani mara kadhaa watu wamekuwa wakikoswakoswa na magari achili mbali toyo ambazo zimekuwa zikijaribu kupenya hatakama mhusika amewashiwa taa ya kumuashiria asubiri. Aidha pia nitumie fursa hii kutoa changamoto hasa kwa waendesha magari wa arusha kuwa ukiruhusiwa na taa jaribu kuwahi kwani zile taa zinaruhusu kwa muda uliopangwa (ila kwa hili naomba muwe makini msisababishe ajali). Nashukuru katika taa za mianzini huwa kuna trafic ambae huwa nyakati zile mbaya anaongoza wavuka kwa miguu kwani wengi wao bado suala la taa za barabarani linawatatiza bado.

Waendesha pikipiki nawashauri muache tabia ya kuchomekea...inawagharimu wengi sana maisha yao...

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat