Banda la MEGATRADE INESTIMENT linavyoonekana katika maonesho ya kimataifa ya biashara ya Afrika Mashariki(EATF)yanayoendelea katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza.
Wafanyakazi wa MEGATRADE INVESTIMENT wakifurahia baada yakukabidhiwa cheti cha ushindi nafasi ya kwanza katika Category ya “Food and Beverage processors”atika maonesho ya kimataifa ya biashara ya Afrika
Mashariki(EATF)yanayoendelea katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza.
Banda la MEGATRADE linavyoonekana mara baada ya kuingia ndani.
Mgeni rasmi katika maonesho ya kimataifa ya ya biashara ya Afrika Mashariki ,Waziri wa viwanda na biashara Dr Abdallah Kigoda (MB)
Kikombe pamoja na cheti iliyojinyakulia kampuni ya MEGATRADE ya jijini Arusha inayozalisha vinywaji vikali vya K-VANT GIN na KIROBA.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!