Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Msaniii wa Hip Hop kutoka River Camp Soldiers Gentriez Mwakitabu alimaarufu kama Arusha Boy ANAEMILIKIWA NA wanene entertainment , Yuko Hoi Kitandani Baada ya Kuvamiwa na watu asiowafahamu akiwa anatoka super market Maeneo ya Faknouk studios za Sam Timber...na kufanyiiwa fujo iliyopelekea Mshkaji Kuwahishwa Hospitali..
Viva Arts Tulimtafuta Gentriez ili kupata maelezo kuhusu tukio hili ..lakini hatukufanikiwa kumpata .lakini Tulifanikiwa kumpata Mtu wa Karibu Wa msaniii huyo aliyejitambulisha kama Mdogo wake Msanii husika aliejitambulisha kwa jina la KING MNENE na Haya Ndio yalikua Mazungumzo yetu na yeye
Viva arts : Ilikuaje mpaka kutokea kwa Tukio hilo,unafahamu chanzo chake ?
King Mnene: "Navyofahamu ni Wivu tu wa maendeleo wa baadhi ya wasanii wenzake wasiopenda kuona maendeleo ya bro.
Viva arts : Je mmechukua hatua gani mpaka sasa
King Mnene:Mpaka hatua ya kwanza ni kufikisha swala Polisi na Sisi hatutaki kuongea sana tunaacha polisi waendelee na uchunguzi wao
Viva Arts : Shukrani
ARUSHA BILA BIFU ZISIZO NA MAANA INAWEZEKANA ,
STOP THE VIOLENT...GET WELL SOON ARUSHA BOY Gentriez Mwakitabu.
September 1, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!