
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika ofisi zao za Ndauka Entertainment zilizopo Kinondoni jijini, Dar, Malick, alisema ndoa hiyo itafungwa mwezi Novemba mwaka huu.
“Ndoa ipo palepale, kila kitu kitakuwa sawa Novemba mwaka huu. Familia zote mbili zimeshabariki ndoa hii kilichobaki ni maandalizi tu,” alisema Malick.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!