Jamani uliona wapi pombe kali (konyagi) na mkutano wa siasa? hii imetokea Bongo (tena Dar es Salaam) kwenye mkutano wa CUF hivi karibuni ambapo mlemavu huyu alikutwa akigida pombe aina ya konyagi huku mkutano ukiendelea
hapa akijisogeza eneo muafaka ili aweke pozi saafi la kuendeleza kukoleza mistimu...
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!