Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Dk Stephen Ulimboka
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Stephen Ulimboka leo ameeleza ya moyoni baada ya kutoa taarifa yake kwa vyombo vya habarikupitia kwa wanasheria wake ambao ni Shayo na Nyaroro Kichere. Taarifa hiyoimeeleza kuwa aliyekuwa anawasiliana nae kabla ya kutekwa, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa kucha na kutolewa meno na hatimaye kutupwa katika msitu wa Mabwepande usiku wa Juni 26 mwaka huu ni Bwana Ramadhani Ighondu ambaye alidaiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ni Ofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Katika taarifa hiyo Dk. Ulimboka anaeleza kushangazwa na kutokamatwa mtu huyo mpaka sasa na kudai kuwa yeye yupo tayari kutoa ushirikiano kwa tume huru japo mpaka sasa haijaundwa.
October 18, 2012
HATIMAYE DK. ULIMBOKA AMTAJA ALIYE HUSIKA NA KUTEKWA KWAKE
Millionfortune.com
JAMII
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!