StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

October 5, 2012

BOBAN AMUWEKA WIKI MBILI NJE YONDAN

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


BEKI wa Yanga Kelvin Yondan atalazimika kukaa nje ya dimba kwa wiki mbili ili kujitibu mfupa wa goti alioumizwa na kiungo wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' katika pambano la timu hizo lililofanyika juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Daktari wa Yanga, Juma Sufian amesema kwamba baada ya kufanyiwa uchunguzi, Yondan alionekana kupasuka mfupa uitwao kitaalam Fibula, na hivyo kupona kwake itachukua wiki mbili.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat