StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

October 19, 2012

HII NDIO TASWIRA MBALIMBALI ZA PONDA NA WENZIWE WALIPOPANDISHWA KIZIMBANI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini,Sheikh Issa Ponda (katikati) akiwa na wenzake 38 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mapema leo walipofika kusomewa mastaka ya makosa yao mbali mbali yakiwemo ya uchochezi wa kidini.Katibu amepandishwa kizimbani leo pamoja na wenzake 50 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.

Baadhi ya Kina Mama wanaounganishwa na Mashtaka hayo pamoja na Sheikh Ponda,wakijificha ili wasipigwe picha wakati wakiwa kwenye chumba cha Mahakama leo.



Wanahabari wakitafuta taswiza za Sheikh Ponda wakati akiondolewa Mahakamani hapo.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat