Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi wa dini mbalimbali aliowaalika katika futari Ikulu ya mjini
Mbeya jana jioni
Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi muda mfupi
kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa dini mjini
Mbeya jana. Picha na Freddy Maro
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!