Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Meneja Ukuzaji wa Biashara Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa naKati wa Benki ya NBC, , Jonathan Bitababaje akitoa mada katika seminaya vijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyikakatika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwana Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi ambayo benki hiyoimedhamini.
Naibu Mkurugenzi wa Vijana katika Wizara ya Vijana, Habari,Michezo na Utamaduni, James Kijugusi akizungumza katika semina yavijana ya siku mbili kuhusu masuala ya ujasiriamali iliyofanyikakatika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam na kuandaliwana Shirika lisilo la kiserikali la Vijana la YESi, Semina hiyoimedhaminiwa na Benki ya NBC. Kushoto ni Mshauri wa Mahusiano wa benkihiyo, Eddie Mhina na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa YESI,
Baadhi ya washiriki wa semina ya vijana kuhusu ujasiriamali
wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika ukumbi wa Don Bosco,Dar es Salaam. Semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika lisilo lakiserikali la YESi ilidhaminiwa na Benki ya NBC.
December 7, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Blog yenu iko poa sana, keep it up!
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!