StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 20, 2012

TAIFA LIPO KATIKA MAOMBOLEZO ,MIILI 68 YAOPOLEWA KATIKA ENEO LA TUKIO

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


Taarifa kutoka Zanzibar zinadai kuwa jumla ya miili 68 hadi saa 2.usiku wa jana imeokolewa kwa siku ya jana  ,hata hivyo serikali yatangaza maombolezo ya siku tatu kuwalilia waliokufa ajali ya meli

Hata hivyo idadi ya watu walikuwemo katika meli hiyo ni 290 pamoja na wafanyakazi wa meli hiyo .

Kwa mujibu wa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Mhe.Wiliam Lukuvi ,Rais Dkt Jakaya Kikwete ametangaza siku tatu za watanzania kuomboleza msiba huo mkubwa kwa Taifa

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat