YULE
Askari jasiri Donald Julius Mathew mwenye namba za polisi F 3276
aliyejitokeza hazarani na kuwaataja askari wenzake wa mkoani hapa
akiwashutumu kwa mambo mbali mbali ya kiwemo ya kushirlikiana na
waharifu.
Leo
saa 11 Alfajiri mwili wake ulikutwa ukining'inia juu ya mti uliopo
jirani na daraja la Shani katikati ya mji wa Morogoro akidaiwa
kujinyonga.kabla ya kufika uamuzi huo baadhi ya wananchi wa mkoani hapa
jana mchana walimshuhdia Afande huyo ambaye ni maarufu kwa jina la
Dunga akilanda landa kwenye mtaa ya mji wa Morogoro huku akionekana
kama mtu aliyechnganyikiwa.
2 comments:
Makubwa
jamani
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!