Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Bi Kidude akiwa na Maalim Sherif Hamad
Taarifa zilizofika punde kutoka visiwani Zanzibar zinadai kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini Bi. Kidude anaumwa. Aidha, mjukuu wake alizungumza na televisheni ya Zanzibar na kutabaisha hali ya kiafya ya bibi yake na kuomba msaada kutoka kwa wasanii mbalimbali kwani kwa sasa anamuuguza kwa shida kutokana na kushindwa kumudu gharama.
Taarifa
zaidi zinasema Bi. Kidude anaumwa tangu wiki iliyopita.na hana mdau
hata mmoja wa muziki aliyejitokeza kumsaidia hivyo kwa wapenzi na wadau wenye uwezo wajitokeze kumsaidia bi Kidude ili apate matibabu na arejee
katika hali yake ya kawaida
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!