StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

August 16, 2012

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE, AZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III), UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo. Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Idd na Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Dr Servacius Likwelile wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kwa niaba ya Rais wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat