
Mwenyekiti wa Sekta Binafsi ya Ulinzi hapa Nchini,Almas Maige (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa taarifa ya kulitaka Shirika la Viwango nchini (TBS) kuacha kuiingilia Sekta hiyo katika maswala yake ya kiutendaji,kwani halina sifa waha utaalamu wakusimamia maswala ya ulinzi.Kulia ni Katibu Mkuu wa Sekta Binafsi ya Ulinzi hapa Nchini,Isaya Maiseli.

Katibu Mkuu wa Sekta Binafsi ya Ulinzi hapa Nchini,Isaya Maiseli akisoma taarifa yao yenye taratibu mbali mbali za maswala ya Ulinzi hapa nchini mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!