Mgombea Uenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini,Muhsin Rafii Ismail Akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya Wanachama wa CCM Wilaya hiyo kumchagua kuwa Mwenyekiti 2012-2017...Anayekabidhi ni Katibu wa CCM -Lindi Mjini,Bw Mohamed Kateva Anayeshuhudia ni Katibu Msaidizi wa CCM Lindi mjini
Muhsin Rafii Ismail akifika katika Jengo la CCM Mkoa wa Lindi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba Uenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi Mjini huku wadau wakimuunga mkono
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!