Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo mjini Malabo, Equatorial Guinea ambapo wanahudhuria Mkutano wa Tisa wa Sullivan unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo baada ya kukutana mjini Malabo, Equatorial Guinea wakohudhuria Mkutano wa Tisa wa Sullivan unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!