Kongamano la kunganisha vijana kifikra amabalo limeandaliwa na Internationa youth fellowship limehitimishwa leo baada ya kufanyika katika ukumbi wa Yombo 4 uliyo chuo kikuu cha Dar es Salaam na kongamano hilo limefungwa na Waziri wa utamaduni na michezo Dk Penella Mukangara.
Akizungumza katika hitimisho la Kongamano hilo Waziri Penella alisema lengo kubwa ni kuunganisha vijana katika nguvu moja kifikra ili kuweza kujenga Taifa lenye vijana wenye muelekea.
Naye Katibu mkuu wa IYF Hun Mok Lee alisema vijana lazima wawe mfano kwa Taifa lao ni siyo kujihusisha na migomo , malalamiko kejeli na mambo mengine yasiyokuwa ya msingi.
SOURCE GLOBAL PUBLISHERS
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!