

Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora(APRM) Tawi la Tanzania Rehema Twalib(kulia)akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 septemba 2012 mjini Dar es salam.Katikati ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu Dr.Rachel Mukamunana na kushoto Afisa anayeshughulikia masuala ya APRM na NEPAD kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNDP Zemenay Lakew.Picha na Veronica Kazimoto-MAELEZO- Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!