StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 18, 2012

BARAZA LA WAWAKILISHI WAITEMBELEA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala ya Baraza hilo Bw. Ally Abdallah Ally (wa pili kushoto) akioneshwa jinsi Makataba mtandao ya Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania inavyofanya kazi, wa pili kulia nyuma ni Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Beatrice Korosso.

Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma akiandika baadhi ya hoja zilizokuwa zikiulizwa na wajumbe wa kamati ya Sheria, Katiba na Utawala ya Baraza la wawakilishi.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati wakiwa kwenye mazungumzo katika ofisi za Tume.

Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Ally Abdallah Ally baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume.

Wajumbe wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wa Baraza la Wawkilishi wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Profesa Ibrahim Juma, akifuatiwa na Naibu Spika wa Baraza la wawakilishi Mh. Ally Abdallah Ally na Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat