
Daudi Msungu (KUSHOTO)Mgombea nafasi ya makamo mwenyekiti UVCCM (bara) Matulanga (wapili kushoto) Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti Mkoa wa Dar es Salaam Lihami na Mgombea mwengine kutoka Dar wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa White House makao makuu ya Chama hichomjini Dodoma leo.

Wagombea mbalimbali wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM .
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!