StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 8, 2012

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA AZINDUA KONGAMANO LA MITAJI NA UWEKEZAJI JIJINI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhani Khijjah akimsikiliza kwa makini ofisa Mkuu wa (CMSA) Mrs Nassama Masinda wakati alipokua akichangia mada wakati wa Kongamano la siku moja la kujadili masuala ya Mitaji na Uwekezaji lililoandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na DSE, IFC jijini Dar es Salaam hapo jana.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi Ramadhani Khijjah watatu toka kushoto waliokaa akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kufungua kongamano la siku moja la kujadili masuala ya Mitaji na Uwekezaji lililoandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na DSE, IFC jijini Dar es Salaam hapo jana. Meneja Masoko na Mawasiliano wa NIC Capital Bw.Yusuf Shenyagwa, akitoa mada katika kongamano la siku moja lililojadili masuala ya mitaji na uwekezaji,kongamano hilo liliandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na IFC pamoja na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE)hapo jana.
Mmoja wa washiriki wa kongamano la siku moja la kujadili masuala ya mitaji na uwekezaji akichangia mada. Kongamano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana liliandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na IFC pamoja na Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE).
Baadhi ya washiriki wa kongamano la siku moja la kujadili masuala ya mitaji na uwekezaji wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa. Kongamano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam jana liliandaliwa na NIC Capital kwa kushirikiana na IFC pamoja na Soko la hisa la Dar wes Salaam (DSE).

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat