StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 15, 2012

MAGEREZA WAPATA MSAADA KUTOKA UNICEF

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima (kulia) akipokea msaada wa kijamii kutoka kwa Mwakilishi Msaidizi wa kitengo cha kuunganisha watoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF) nchini, Paul Edwards (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dare es Salaam leo. UNICEF imetoa msaada wa vitu mbalimbali kama vyandarua, magodoro, mito, taulo na vifaa vya michezo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 8,972. Kulia ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Fidelis Mboya. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akihutubia hafla hiyo.


Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria hafla hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat