Walimu wa shule za msingi na upili nchini Kenya leo wanaanza mgomo wa nchi nzima wakiwa na madai yafuatayo;
1. Wanataka walimu wakuu wote walipwe kinachoitwa 'Responsibility allowance'
2. Wakati walimu wa Tz waligoma mwezi uliopita wakitaka pamoja na mambo mengne nyongeza ya mishahara kwa 100% walimu nchn Kenya wanataka Nyongeza 300% ya mshahara
3. Malipo kwa walimu wastafu 4. Malipo kwa posho mbali mbali kwa walimu.
Wakati wadadisi mbali mbali ndani na nje ya Kenya wakihoji kitendo cha walimu hao kuamua kugoma wakati huu wanafunzi wakijiandaa na mitihan ya mwsho wao wanasema hakuna wakat mzuri/mbaya kwa vita hata kama wanafunzi wanajiandaa na mitihani haijalishi.
Chanzo: AMKA NA BBC
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!