Meneja wa timu ya taifa alikataa kuchukua Crouch hivi karibuni katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Ukraine na Moldova, hata baada ya kuwa na majeruhi.
Hodgson alisema kumkataa mshambuliaji huyo wa Stoke inatokana na matukio yaliyojiri Euro 2012 na ndio aliyosisitiza kama ilikuwa ni sababu kuu katika uamuzi wake.
Lakini Crouch, 31, alithibitisha: "Kama nitapata nafasi ya kuchezea timu yangu ya taifa, itanibidi kuipokea nafasi hiyo kwa mikono miwili."




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!