Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ikulu jijini Dar es Salaam na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto)pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro).




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!