Waziri wa Serikali za Mitaa nchini Kenya, Fred Gumo, mmoja amekanusha kuwa amehusika na wizi wa gari moja la rais ambalo amekutwa nalo.
Waziri Gumo alisema gari lake alikuwa amempa mfanya biashara alioko Mombasa na badala yake akakabidhiwa hilo gari, ambalo lilikuwa limeibiwa kutoka kwa rais wa zamani, Daniel Arap Moi, miaka mine iliyopita.
Bwana Gumo alisema hakujua kuwa gari hilo lilikuwa la wizi na hakulitumia sana kwa sababu hakupata nyaraka zote za gari hilo.




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!