Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasha moja ya mtambo wa kutengeneza dawa wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 JUZI Oktoba 2, 2012. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua utengenezaji dawa za binadamu wakati alipotembelea kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Chemicals Limited cha jijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50,JUZI Oktoba 2, 2012. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Mansoor Daya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bwana Mansoor Daya (kulia kwake ) na familia yake baada ya kutembelea na kuzungumza wafanyakazi na waalikwa wa kiwanda cha dawa za binadamu cha Mansoor Daya Chemicals Limited cha jijijini Dar es salaam kilichotimiza miaka 50 JUZI Oktoba 2, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
October 4, 2012
WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MANSOOR DAYA
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!